Kiongozi gani Umempenda Mtaje Jina

Kiongozi gani Umempenda Mtaje Jina

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Bunge copy.jpg
Kiongozi gani umempenda kutoka bunge hili!? Taja namba na Jina lake na chama anachotoka, Kama kweli unafatilia Bunge
 
Kumbe bungeni haya mimi naondoka kimya kimya
 
Namba moja maarufu hamna haja ya kumtaja, ila namba 3 atakuwa mzee wa maskafu aka Adolf hetler jina lake nimelisahau
 
Hii picha umeitoa wapi?

Naona kama U-Danny Alves hapa?
 
Hyo picha haionekani frxh ktk simu yngu,bt binafsi viongozi wote ambao wpo against na sera za kibepari na wote waliokuwa hawapendwi na wengi kama adolf hitra,mussolin,che guevara,hugo shvs,fed.castro, n.k
 
Namba moja maarufu hamna haja ya kumtaja, ila namba 3 atakuwa mzee wa maskafu aka Adolf hetler jina lake nimelisahau

I thought that you are Price!
 
Last edited by a moderator:
We utafiti sijui utafiti gani usiokuwa na macho, kwanza mimi sio sisiemu we huna macho nini! ...........
 
Namba 1 anafanana na W. A. Sira
 
aaaaaaaaaaaaa! we humuoni mheshimiwa hapo? kahamia bunge la UK lini!? Africa hapa hapa Au nikwambie wabunge wa chama gani?!

kwa kweli sioni watu naona sokwe tu labda mnielimishe...
Viti design kama bunge la UK
 
Back
Top Bottom