Kiongozi CCM ahamia CHADEMA

Kiongozi CCM ahamia CHADEMA

angalau kawa na macho ya kuona uchafu wa ccm
Mkuu unafikiri wameona hao! bado vipofu wamenunuliwa au kuahidiwa kitu watakapoharibu mabadiliko. Hawana lolote tena SASA TUWE MAKINI SANA NA MAMLUKI:Hao wameshaozoea umaskini hivyo hizo hela za muda mfupi kwao ndiyo mapumziko. Lkn nahisi hao jamaa ni wanafiki saaana. Na wataondoka wengi ni moja ya mikakati aliyokuja nayo msomali na kundi lake. Tuwe makini hata Huyo Mikama ni mtego tu wanahakika watashindwa kwa hiyo hizo ni moja ya mbinu wanatumia kusambaratisha Chama. Kama Mungu alishawahi kusambaratishwa CCM watashinda na kama hajawahi basi ni wakati wa Watz kupata nafuu sisi tuna Mungu wao wana Pesa na mali nyingine. TUTAONANA!
 
Huyu jamaa namfahamu. Aliwahi kupewa hadi utangazaji Redio Uhuru ya Magamba akitokea Rufiji. Ni mwongeaji mzuri. Kiutendaji,ni kiasi fulani. CHADEMA iwe makini naye kabla ya kumkaribisha chumbani
 
alisema kuwa ameamua kuihama CCM kutokana na sera zake zisizotekelezeka pamoja na uongozi wa wilaya kuwa wa kifamilia.[/ QUOTE]

Wrong choice amefanya bora angeenda ADC! Uongozi wa kifamilia CCM unafanana na wa CDM. Hakutafiti kabla ya kuhama au sababu zitakuwa feki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom