Kiongozi CCM ahamia CHADEMA

pefla

pefla

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
100
Points
195
pefla

pefla

Senior Member
Joined Jan 31, 2012
100 195
Kiongozi CCM ahamia CHADEMA
WIMBI la viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukihama chama hicho limezidi kushika kasi baada ya kada maarufu kutoka Wilaya ya Rufiji, Seleman Ndumbogani kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Ndubogani ambaye amewahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo ya kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa, alisema kuwa ameamua kuihama CCM kutokana na sera zake zisizotekelezeka pamoja na uongozi wa wilaya kuwa wa kifamilia.
Kada huyo amedai kuwa wilaya hiyo imejaa siasa chafu ambazo zimetengeneza makundi mawili katika baraza la madiwani hali inayosababisha kuwapo kwa ugomvi wa mara kwa mara katika halmashauri.
Ndubogani alidai kuwa mbunge wa Rufiji, Abdul Malobwa, ni mkwe wa mwenyekiti wa sasa wa Halmashauri ya Rufiji, Ramadhan Ngayonga, huku Katibu Mwenezi wa CCM wa wilaya hiyo, Musa Mng’eresa akiwa ni mpwa wake.
Pia alidai kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, Bakari Msati, ni mjomba wa mwenyekiti wa halmashauri kwamba kwa pamoja wanatokea eneo moja ya Delta.
Mbali na madai hayo, Ndubogani pia alidai kutotekelezeka ipasavyo kwa sera za CCM nako kumechangia achoke na kuhamia CHADEMA.
“Sera za CCM ni kutoa ajira nyingi serikalini na ndani ya chama kila mwaka, lakini mimi, wenzangu na watoto wetu tumeomba kazi zaidi ya miaka 20 bila mafanikio … sasa tunaing’ang’ania CCM ya nini?” alidai.
Ndumbogani aliongeza kuwa amehamia CHADEMA ili kuimarisha chama hicho kuanzia ngazi ya msingi hadi wilaya huku akiwataka wanaomfahamu wasihuzunishwe na kuhama kwake kwa kuwa CCM imepoteza dira na waje CHADEMA.
Ndumbogani alirejesha kadi ya CCM na kukabidhiwa ya CHADEMA na mbunge wa Ubungo, John Mnyika, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Maili Moja, Kibaha mkoani Pwani juzi.

Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,726
Points
1,225
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,726 1,225
Ni vizuri kakini akae akijua huku hakuna vyeo vya kupewa
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
angalau kawa na macho ya kuona uchafu wa ccm
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
Kiongozi CCM ahamia CHADEMA
WIMBI la viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukihama chama hicho limezidi kushika kasi baada ya kada maarufu kutoka Wilaya ya Rufiji, Seleman Ndumbogani kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Ndubogani ambaye amewahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo ya kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa, alisema kuwa ameamua kuihama CCM kutokana na sera zake zisizotekelezeka pamoja na uongozi wa wilaya kuwa wa kifamilia.
Kada huyo amedai kuwa wilaya hiyo imejaa siasa chafu ambazo zimetengeneza makundi mawili katika baraza la madiwani hali inayosababisha kuwapo kwa ugomvi wa mara kwa mara katika halmashauri.
Ndubogani alidai kuwa mbunge wa Rufiji, Abdul Malobwa, ni mkwe wa mwenyekiti wa sasa wa Halmashauri ya Rufiji, Ramadhan Ngayonga, huku Katibu Mwenezi wa CCM wa wilaya hiyo, Musa Mng'eresa akiwa ni mpwa wake.
Pia alidai kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, Bakari Msati, ni mjomba wa mwenyekiti wa halmashauri kwamba kwa pamoja wanatokea eneo moja ya Delta.
Mbali na madai hayo, Ndubogani pia alidai kutotekelezeka ipasavyo kwa sera za CCM nako kumechangia achoke na kuhamia CHADEMA.
"Sera za CCM ni kutoa ajira nyingi serikalini na ndani ya chama kila mwaka, lakini mimi, wenzangu na watoto wetu tumeomba kazi zaidi ya miaka 20 bila mafanikio … sasa tunaing'ang'ania CCM ya nini?" alidai.
Ndumbogani aliongeza kuwa amehamia CHADEMA ili kuimarisha chama hicho kuanzia ngazi ya msingi hadi wilaya huku akiwataka wanaomfahamu wasihuzunishwe na kuhama kwake kwa kuwa CCM imepoteza dira na waje CHADEMA.
Ndumbogani alirejesha kadi ya CCM na kukabidhiwa ya CHADEMA na mbunge wa Ubungo, John Mnyika, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Maili Moja, Kibaha mkoani Pwani juzi.

- Oil chafu!!

ES
 
ABEDNEGO CHARLES

ABEDNEGO CHARLES

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
569
Points
195
ABEDNEGO CHARLES

ABEDNEGO CHARLES

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
569 195
Kazi imeanza!
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,993
Points
1,500
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,993 1,500
karibu.......... .. hatutaki undumilakuwili kama wa akina matata
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Ni mapema kumpongeza maana nikiangalia watu kama Shibuda napata kigugumizi hata kama ni uamuzi mzuri.
 
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
1,826
Points
1,250
Age
62
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
1,826 1,250
(Kada huyo amedai kuwa wilaya hiyo imejaa siasa chafu ambazo zimetengeneza makundi mawili katika baraza la madiwani hali inayosababisha kuwapo kwa ugomvi wa mara kwa mara katika halmashauri.

Ndubogani alidai kuwa mbunge wa Rufiji, Abdul Malobwa, ni mkwe wa Mwenyekiti wa sasa wa Halmashauri ya Rufiji, Ramadhan Ngayonga, huku Katibu Mwenezi wa CCM wa wilaya hiyo, Musa Mng'eresa akiwa ni mpwa wake.

Pia alidai kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, Bakari Msati, ni mjomba wa mwenyekiti wa halmashauri kwamba kwa pamoja wanatokea eneo moja ya Delta.)

kumbe nako kuna undugu na ukabila kama CDM?
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,618
Points
2,000
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,618 2,000
Mimi si muumini sana wa wanchama wanohama chama kwenye majukwaa, mimi nilipojivua gamba nilienda kimya kimya kwenye ofisi za CDM na kuchukuwa kadi ya na kusonga mbele kwenye mapambano.
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
Hoja nyepesi hizo, amedanganyika
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,214
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,214 0
Hongera yake,lakini asifikiri upinzani kuna pepo au kuku. Opposition ni gwanda na kaz huku ukipambana polisccm!
 
Pharaoh

Pharaoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
843
Points
195
Pharaoh

Pharaoh

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
843 195
Mimi napenda Chadema, lakini nimekosa imani na vyama vya Upinzani hivi karibuni.
 
mchuziwanyoka

mchuziwanyoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
374
Points
170
mchuziwanyoka

mchuziwanyoka

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
374 170
huyo ni jamii ya babu slaa atakuwa ajarudisha kadi na anailipia
 
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
4,147
Points
1,225
omujubi

omujubi

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
4,147 1,225
step by step and finally we will get there!
 
Forum statistics

Threads 1,285,941
Members 494,834
Posts 30,879,845
Top