Naomba anayefahamu jina na nchi anakotokea kiongozi aliyewahi kufanya mapinduzi ya kijeshi mara mbili... (Nahisi kama ni kutoka nchi za amerika kusini but sina uhakika wala details).. Anayemfahamu tafadhali anidetail

Hata Pierre Buyoya wa Burundi alimpindua Jean Baptist Bagaza naye akatolewa kwa njia ya Uchaguzi na Melchior Ndadaye Baada ya kuuliwa Ndadaye Sylivester Ntibantunganya akashika nchi kama Speaker wa Bunge na Baadae akapinduliwa na Pierre Buyoya hivyo na pierre Buyoya wa Burundi amefanya mapinduzi ya kijeshi mara mbili.
Kwahiyo hata ukiambiwa huyu ni baba yako wewe unaenda kumgoogle kama ndio yeye sio?Mbona watanzania mmekuwa wavivu kufikiri kiasi hicho au shule ya ugoko nini?