Dah yule mbunge(CCM)ni mtu mzima kwelikweli...
Kasema mshahara wake wa kwanza 1970's ulikuwa 1200, alinunua kitanda, radio na sofa kwa ajili ya kumkaribisha GF(girlfriend) wake!!
Huyu ndie kamtetea Wassira akilala asipigwe picha!!kisa katoka mbali, na Mrema alipigwa picha denda linamtoka kalala bungeni. Kamwaga pumba hata point zake kwa taifa sijaziona!!
Dah magamba kazi ipo!!
Bwahahahahahahahahahahahahaaaaaa
Siamini kama mwakilishi wa watu timamu anaweza kumwaga shuzi kama hilo mjengoni
Mimi aliyenishangaza leo ni yule aliyesema kutoa pesa ndogo (kama elfu mbili au kumi) sio rushwa ni kama kutoa msaada kwa mtu anayekusaidia kazi aitoe vizuri....
Eti kama Doctor hana umeme kwanini usimpe 10,000 ili anunue Generator ili akusaidie vizuri?
Kweli kuna umuhimu wa kufuta viti maalumu kwa haraka sana...,Yule ni Viti maalum(CHADEMA) hata mimi nilikuwa simwelewi, anaongea kwa mapozi kama kanywa mvinyo vile....!!
hajaongelea jimbo lake hata chembe!Huyo ni Mbungwe wa Manyoni CCM. Ametia aibu sana watu wa jimbo lake. Uwezo wa kufikiri ni zero kabisa.
Yule ni Viti maalum(CHADEMA) hata mimi nilikuwa simwelewi, anaongea kwa mapozi kama kanywa mvinyo vile....!!