Kinywaji Pwa!

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
Mgambo wa jiji akimwaga pombe za kienyeji aina ya piwa zilizokutwa kwenye nyumba za wakazi wa Mtaa wa Matejo jijini Arusha katika operesheni ya tokomeza kipindupindu iliyofanywa na Halmashauri kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa,kufuatia mazingira machafu na hatarishi ya uandaaji wa pombe hizo,mitaa hiyo ni maarufu kwa uuzaji wa pombe za kienyeji.
931_1405746692773078_229496839563900552_n.png
 
Hapo huyo mgambo alitakiwa achukuliwe hatua Kali kwani anachokifanya ni uchafuzi mkubwa wa mazingira.
 
Back
Top Bottom