The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,381
- 1,760
Ni kinywaji gani unavyokunywa unahisi umetengenezewa wewe kwa namna kinavyokuingia kooni kwa ladha yake tamu mdomoni mwako.
I see,I like Grand Malta!
I see,I like Grand Malta!
VIMTO ndo kinywaji gani hichoVIMTO
Ni kinywaji gani unavyokunywa unahisi umetengenezewa wewe kwa namna kinavyokuingia kooni kwa ladha yake tamu mdomoni mwako.
I see,I like Grand Malta!
Kweli Novida sihaziona mda mrefu labda kwa kuwa sizitumii ila kwakuwa mtumiaji mwenyewe huzipati labda zimeadimikaAlvaro & Novida sijui zimepotelea wapi?
Umri wako tafadhali!VIMTO ndo kinywaji gani hicho
jiandae kugongewa demu wako au mkeoAzam energy
Ee sema,kama ni kilevi wengine huwa hatutumii ndo maana sikijuiUmri wako tafadhali!
Itakuwa Konyagi au Kiroba cha Zanzi" Komoni " is my favorite.
Inakuwaje hapa kwani,inalegeza nati?jiandae kugongewa demu wako au mkeo
tena uikome kweli kweli ht kuiangalia usiiangalieInakuwaje hapa kwani,inalegeza nati?