Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Kuna jamaa ni dereva wa gari la kusambaza mikate anaishi hapa mtaani yani anaiba mikate anapeleka dukani kwa malipo ya double kick, yan amekonda kama mzuka nusura atafanana panya
Huyo atakuwa ni mlaji mzuri wa mikate/sponji(maana bado sijaona mikate halisi zaidi ya masponji tu yaliyo wekewa amira na ngano) kisha anasukumiza ma kilevi kikali lazima akonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…