kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 615
- 791
Kwa hili alilofanya@officialalikiba leo la kuzindua kinywaji chake cha [HASHTAG]#MOFAYA[/HASHTAG] DRINK kinampaisha vipi katika maendeleo yake binafsi na kimusic?
Sasa hapa najua Diamond atanuna kwa hichi kikubwa alichofanya leo KING ila tunajua DIAMOND KARANGA za @josephkusanga wa CLOUDS.
Team Kiba naona wamepata pa Kuhemea vipi wewe mdau unalionaje hili jambo la ALIKIBA kuzindua kinywaji chake kinampandisha vipi kwa Music na Kifweza???