Kinyozi Mahiri Huyu Hapa

anastahili ukinyozi bora
 
nimekumbuka mbali sana
Mwamvuli wangu ....

Gari yangu ....

Honda langu ....

Eti mnashindana, wa kwanza kutaja ndio chake. Kuna wakati mnataja wote kwa mpigo basi ulalamishi unaanza hapo.

Utoto raha sana
 
bado kombolela hapo
Mwamvuli wangu ....

Gari yangu ....

Honda langu ....

Eti mnashindana, wa kwanza kutaja ndio chake. Kuna wakati mnataja wote kwa mpigo basi ulalamishi unaanza hapo.

Utoto raha sana
 
bado kombolela hapo

Dada Amavubi huyo huyoo huyoo...

Mshikeni huyo huyoo huyoo...

Anatoa sauti tingo tingo tingo tingoooo...

Au ule wimbo mwingine:-

Dada Amavubi njoo hapa tunayaone maringo yako...

Na makofi juu PAPAPA PAAAA...
 
Kama sijakosea atakua ananyoa nywele za puani
:bunplease:
 
leo HARUFU umechachamaa
Dada Amavubi huyo huyoo huyoo...

Mshikeni huyo huyoo huyoo...

Anatoa sauti tingo tingo tingo tingoooo...

Au ule wimbo mwingine:-

Dada Amavubi njoo hapa tunayaone maringo yako...

Na makofi juu PAPAPA PAAAA...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…