Jamaa flani aliingia kinyozini na mtoto wa
miaka
mitano.Yeye akasema anyolewe
kichwa na
ndevu,ALipomaliziwa ,akasema,
"haya,endelea kumnyoa mwanangu,wacha niende ninunue vitu
flani dukani
nakuja kumchukua.'
'Mtoto nae
akanyolewa .
Baada ya saa moja kupita,Jamaa
hakurudi,hivyo kinyozi akamwuliza mtoto, "kwani huyu baba yako
anarudi saa
ngapi?"Mtoto akajibu, "huyo si
bàbangu,Amenipata
hapo nje akaniambia tuje hapa tunyolewe
Bure !!!!"