kinondoni kila katika kila vijana 10 wakipita 6 kati yaooo matejaaaass....duh hatari...ina maana katoka kipindi cha miaka miwili watu wengi watakua mateja...upatikanaji wa unga syo tabu kinondoni....wauzaji ni wengi sana...manyanya pale unga unauzwa kma pipi...hongera sana serikalI kwa kutojali hali ya pale ni kama mmeruhusu unga kuuzwa...ngojeni watoto zenu waingie katika madawa
mateja wapo kila sehemu ila hapo kinondoni kuna vichaa wengi sana haipiti dakika 2 lazima upishane na kichaa ikifuatiwa na magomeni.
Kinondoni ipi unaizungumzia wewe?
Kinondoni ipi unaizungumzia wewe?
fanya utafiti unaweza kuanzia manyanya!
una uhakika?na hyo ndoano yako ya mabua! Hahah mtuwache siye...!lolKatika vijana wa kiume kumi Kinondoni sita mateja. wawili wezi mmoja mngese na aliyebaki mmoja tapeli. Kwa upande wa mabinti. saba taxi bubu yaani changu. mmoja teja. mmoja mlokole na mmoja wa mwisho safi.Wanawake naogopa kusema maana engine mnakaa Kinondoni na mna wake. Ila ukitipa ndoano hairudi bure.
Nimeishi Kinondoni naijua vizuri sana swala la kuondoa mateja limeshindikana kwa serikali yetu tokea kipindi kile Mh Makamba akiwa mkuu wa mkoa anafukuzana nao pamoja na machangudoa usiku lkn bado hali ni tete. Tutafute mchawi gani wa kutuondolea hii kero maana humo humo na wizi unashamili.