Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,660
- 23,140
Hii ndo shule iliyokuwa na idadi kubwa ya mashori wakali Dar nzima.
Kwa haraka haraka nawakumbula Leyla, Kuluthum, Rehema, Zena, na Nina.
Cc: The Boss
Alumni ipo siku nyingi nadhani mwenyekiti ni Abubakar Mgumia kama sikosei. Baadhi ya waliowahi kupita Kinondoni ni mh. Zungu na Charles Hillary wakati huo akiitwa Njonjo.
Alumni ipo siku nyingi nadhani mwenyekiti ni Abubakar Mgumia kama sikosei. Baadhi ya waliowahi kupita Kinondoni ni mh. Zungu na Charles Hillary wakati huo akiitwa Njonjo.
Heee kumbe aloshafariki?? RIP alikuwa mnene huyo na Head Master Mruma yupo wapi siku hizi au bado yupo hapo??
Mkuu umetisha nimekumbuka mbali sana lazima uwasubiri jirani pale America Chips ya enzi hizo achana na America Chips ya sasa ya wasambaa.
Bila kumsahau Aboubakar Liongo..
Ah ah ah ahmaskini wee mada imebakwa, mtoa mada pole sana
Naomba kuuliza swali nduguzanguni mm nataka kwenda kilisiti pale kinondoni muslim sasa km hiyo shule inasifika kwa totozi kweli maendeleo kielimu yapo kweli au jina tuhapana siijui.
Tunajivunia kutoa naibu spikaAlumni ipo siku nyingi nadhani mwenyekiti ni Abubakar Mgumia kama sikosei. Baadhi ya waliowahi kupita Kinondoni ni mh. Zungu na Charles Hillary wakati huo akiitwa Njonjo.
Huyu tulisoma darasa mojaPamoja na Aboubakari Kombo, alikuwa akicheza ligi daraja la kwanza wakati huo huku akisoma Muslim
Dharau haiwezi kukufikisha popote mkuu,no wonder kweli wewe ni zao la Kinondoni muslim