Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,815
- 71,262
Umejenga nyumba yako kwa jasho na damu kisha inabomolewa bila fidia na kukuletea mateso makubwa wewe na familia yako.
Then wanakuja wabomoaji na kukuambia mchagueni mtu wetu ili muepuke kubomolewa nyumba zenu.
Jee kumbe wakati ule nyumba zilinomolewa sio kwa kufuata sheria bali kwa vile huyo kibaka Mtulia alipokuwa mbunge hakuwa anatoka kwenye chama chao wabomoaji?
Haya ni matusi na kuweka chumvi kwenye kidonda, ni kama vile adha zile mlizopata hakuna anayejali hata kidogo na leo wanawawekea watoto majukwaani wakatike mauno eti kuwafurahisha na kuwaomba kura.
Hakika CCM imewaona nyie ni mazwazwa wakubwana kama mwajitambua ndio nafasi ya kujibu mapigo ili nao wasikie uchungu kama mliokuwa mnasikia wakati wanawatendea bila huruma.
Eti leo wabunge wao na naibu spika wanakuja kusimama na kuwasherehesha kutaka kura (kula) kwenye migongo yenu?
Kama ni mkeo au mumeo hajitambui na anachotwa na huu ufala mshitue na kumwambia UMEPOTEA DEAR!