Zekidon JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,903 Reaction score 569 Sep 6, 2015 #101 huu ushabiki unatupeleka libya ilipo sasa hivi; tusipokua makini tutakuja juta na itakua imetugharimu sana
huu ushabiki unatupeleka libya ilipo sasa hivi; tusipokua makini tutakuja juta na itakua imetugharimu sana
D DONIZ Member Joined Aug 24, 2015 Posts 42 Reaction score 18 Sep 6, 2015 #102 gaselle said: are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo Click to expand... ccm ndo tatizo hapo, watu hawaitaki
gaselle said: are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo Click to expand... ccm ndo tatizo hapo, watu hawaitaki
mbube Member Joined Feb 21, 2015 Posts 26 Reaction score 9 Sep 6, 2015 #103 namkubali sana huyu jamaa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,014 Reaction score 110,628 Sep 6, 2015 #104 Chenge msomi aliyekubuhu katika sheria ni mbunge na kawa waziri lakini kalamba fedha hadi anafikishwa tume ya maadili... Tanzania ni yetu sote... Gaselle said: Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo Click to expand...
Chenge msomi aliyekubuhu katika sheria ni mbunge na kawa waziri lakini kalamba fedha hadi anafikishwa tume ya maadili... Tanzania ni yetu sote... Gaselle said: Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo Click to expand...
M msubhe JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 225 Reaction score 32 Sep 6, 2015 #105 Gaselle said: Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo Click to expand... Kama wolper alipita kugombea ubunge iweje kingwendu ashindwe na tujuavyo baba ndio Kichwa cha familia
Gaselle said: Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo Click to expand... Kama wolper alipita kugombea ubunge iweje kingwendu ashindwe na tujuavyo baba ndio Kichwa cha familia
M msubhe JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 225 Reaction score 32 Sep 6, 2015 #106 Zekidon said: huu ushabiki unatupeleka libya ilipo sasa hivi; tusipokua makini tutakuja juta na itakua imetugharimu sana Click to expand... We boya kweli unawezeje kuifananisha Libya na Tz Una akili timamu ni jinsi gani msivyo na uwezo wa kutofautisha mambo
Zekidon said: huu ushabiki unatupeleka libya ilipo sasa hivi; tusipokua makini tutakuja juta na itakua imetugharimu sana Click to expand... We boya kweli unawezeje kuifananisha Libya na Tz Una akili timamu ni jinsi gani msivyo na uwezo wa kutofautisha mambo
KIWAVI JF-Expert Member Joined Jan 12, 2010 Posts 1,817 Reaction score 700 Sep 6, 2015 #107 Gaselle said: Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo Click to expand... Kingwendu is better than kibajaji, Prof maji marefu, nape na zangu combined
Gaselle said: Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo Click to expand... Kingwendu is better than kibajaji, Prof maji marefu, nape na zangu combined
sergey JF-Expert Member Joined Dec 13, 2012 Posts 217 Reaction score 55 Sep 6, 2015 #108 Ametisha Kingwendu Ule mdomo pindi anachangia mada,kwel hapatosh dom