and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,223
- 39,702
kwa style ya huyu jamaa nawahakikishia atashinda tena kwa kishindo. niliwahi kufanya nae kazi TBL miaka fulani kabla hajapunguzwa kazi na baadae kuingia kwenye uigizaji. kiuweli hata UKAWA walipaswa kuzunguka nae kwenye kampeni zao mikoani
hatari mno. nyie mnajiita wasomi mnaishia kupiga kelele tu sasa hawa jamaa (wasioenda shule) ndio wanaenda kututungia sera bungeni kisha mnakuja kulalamika ooh sheria kandamizi. WASOMI BADILIKENI
Kama tu tutarogwa tukampitisha Magufuli. Hakika tutajutaHaaa! Tuendako kutakuwa kuna hali ngumu kuliko tulikotoka
hatari mno. nyie mnajiita wasomi mnaishia kupiga kelele tu sasa hawa jamaa (wasioenda shule) ndio wanaenda kututungia sera bungeni kisha mnakuja kulalamika ooh sheria kandamizi. WASOMI BADILIKENI