Kingwendu ahamia CCM

Kakuajiri nani wewe zumbukuku hata ujiite Mwandishi?Umesomea wapi journalism?Au ndio wake makanjanja watoa taarifa?
kwani wewe ulivyoandika hapa jf huu utumbo wako umeajiriwa ? inawezekana ukawa na chuki na mimi kwa sababu ya mawe kabambe ninayoipa ccm na mamluki wake , lakini ni vema ukatafuta sababu za maana zaidi ili kunishambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…