Kingwangala tuombe radhi


Labda hamjamuelewa muheshimiwa aliposema talented, talent zipo za aina nyingi wajameni. Kwa sisi tunaolewa tafsida aliposema need people like her in the house tushaelewa ana maana gani.


Tudadavulie kidogo mkuu!
 
Kigwangalla akiwa Rais, tunapata picha ya aina ya mawaziri wake.

President Hamisi Kigwangalla.
Wema Sepeku - State Minister in the president's office (Special affairs)


Hahaha! ccm na kigwangalla hawashindwi
 
Wema akipata ubunge, 2020 robo tatu ya wabunge watatoka bongo movie na bongo flava...

Na anaweza pata mkuu si unajua se tunachagua kutokana na "nani ana vuma na kusikika na hatuangalii historia yako ya uongozi kama huvumi"
 
duh ile series ya 'only in Tanzania' imefika episode ya ngap?
 
Ni u.f.s.k.a tu utaenda kuendelezwa huko, hao wanaomtamani aingie mjengoni sio kwaajili ya lingine.
Amwakilishe nani huyo? Hata Singida anaifahamu iko wapi?
Ni yale yale? Inasikitisha mno
 
Everything is possible in Tanzania
 

Attachments

  • 1434846538199.jpg
    42.1 KB · Views: 120

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…