Kingwangala: The boss is always right

Kingwangala: The boss is always right

Jamaa anadhani siasa ni Cooperate entity. ... kwamba the boss is always right and you have the job.. no problem. ...

Asilojua kwenye siasa kupotea ni very very simple..... and it's gone....
Weka akiba ya maneno kiongozi

Huyu Kigwangala naye hovyo kabisa. Boss hayuko sawa siku zote, hasa kwenye mambo ya siasa. Ndiyo maana nchi za dunia ya kwanza walio ya chini ya rais au waziri mkuu wanajiuzulu wakiwa hawana imani naye.
 
Yeye anaangalia Ugali wake
 
Kama ameandika hivyo hana jipya ktk maendeleo maana hata kama jambo linaloweza kuleta hasara na yeye hakaliona hatatumia kanuni hiyo ,natamani nyerere hafufuke huyu angeondoka maana yupo kwa ajili ya boss c nchi analinda maslah
 
Back
Top Bottom