JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,993
- 2,034
Nimeangalia taarifa ya habari ITV mzee Kingunge anatoa ya moyoni. Kama kweli huyu mzee anaongea kama mwana ccm, basi hakuna tofauti kati ya CCM na UKAWA kwa sasa
Mzee amefunguka sasa wafanye maamuzi bila kuchelewa,mtu akikuaibisha amekuaibisha tu usipochukua maamuzi inakula kwako jumla.