Ndani ya ccm hao wanaojitangaza kuutaka urais si wasafi kamwe. Ingawa wasafi hawana mtandao ndani ya chama. Pia hawana fedha kamwe.
mkuu si maneno yangu ni maneno ya kada mkongwe wa ccmHaya tueleze nani msafi kwa upande wa UKAWA???
Ndani ya ccm hao wanaojitangaza kuutaka urais si wasafi kamwe. Ingawa wasafi hawana mtandao ndani ya chama. Pia hawana fedha kamwe.
Haya tueleze nani msafi kwa upande wa UKAWA???
Alimaanisha Hakuna aliyekamilika mbele ya Mungu, kila mtu ana mapungufu yake ktk Dunia hii, hata kama sisi binaanadamu hatuujui chafu wako ila mungu anajua zaidi. Malaika pekee ndio hawakosei lkn sio ninaadamu. Kwa hiyo wanao uwania URAISI sio malaika ni binaadamu.

Kama hayo maneno yanatoka kwa magamba wenyewe kuwa katika chama chao hakuna msafi basi anguko la CCM liko dhahiri.Mwanasiasa mkongwe wa chama cha mapinduzi na kada mshauri wa chama kigunge ngombare mwilu asema wagombea urais ccm hakuna aliye msafi mwenye kumnyoshea kidole mwingine kwamba ni mchafu.ameenda mbali zaidi na kusema wagombea wote watatumia fedha na wote wanahitaji fedha hivyo haina haja ya kuonyoshea vidole wengine hivyo wananchi wanachotakiwa ni kupima utandaji wao
chanzo itv