Nilivyoelewa mimi ni kuwa mzee haamini katika Mungu na hana Dini lakini kuhusu katiba kamshukuru MUNGU
yalisemwa na sheikh ubwabwaHayo yalisemwa na aliye kuwa mjumbe wa Bunge maalumu la Katiba akiwakilisha upande wa dini Shekh Jongo.
"Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kasema kuwa kukamilika kwa mchakato wa katiba inayopendekezwa kwakweli ni suala la kumshukuru MUNGU"
Watu walicheka sana.
Dini za Kimagharibi na MAshariki ya kati zimewafumba watu macho na uwezo wao wa kuendelea kuisaka kweli. Uislamu na Ukristo vinapingana wazi na moja ni ushetani kwa nyingine lakini wanaonana wote ni wema ukilinganisha na dini zingine nje ya hizo.What's so funny?
Hayo yalisemwa na aliye kuwa mjumbe wa Bunge maalumu la Katiba akiwakilisha upande wa dini Shekh Jongo.
"Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kasema kuwa kukamilika kwa mchakato wa katiba inayopendekezwa kwakweli ni suala la kumshukuru MUNGU"
Watu walicheka sana.
Hivi waganga wa kienyeji hawaamini MUNGU? Maana Kingunge alikuwa mwakilishi wa waganga wa kienyeji na walozi katika bunge la katiba
Dini za Kimagharibi na MAshariki ya kati zimewafumba watu macho na uwezo wao wa kuendelea kuisaka kweli. Uislamu na Ukristo vinapingana wazi na moja ni ushetani kwa nyingine lakini wanaonana wote ni wema ukilinganisha na dini zingine nje ya hizo.
Watu wanashindwa kutofautisha imani za Kiafrika na Upagani, upagani ni kutoamini uwepo wa Mungu, uwezekano mkubwa ni kuwa Kingunge sio mpagani, ni muumini wa Uafrika.
Huwa natamani kweli kuzijua hizo dini za kiafrika,hebu nisaidie

Soma "Things Fall Apart" ya marehemu Chinuo Achebe.
Hazikuwa na hazina jambo lolote la maana. Kuna mambo mabaya na ya kipuuzi mengi ambayo yameambatana na hizo "Dini za Kiafrika", ambayo ukiyajua hutataka kuhusishwa nazo. Karibu zote zina misingi ya kishirikina, utoaji kafara (ikiwa ni pamoja na binadamu) na matambiko ya mizimu.
Hizo ndizo ambazo watu wasiozijua ama wapotoshaji wanapenda sana kuzisifu. Soma kitabu nilichokueleza hapo juu uone jinsi moja ya dini za Kiafrika ilivyotumika kumshughulikia "Ikemefuna". Kwenye makabila menig kuna historia za kidini zilizotumika kuwatupa ama kuwaua watoto mapacha (ndio maana makabila mengi hayana majina ya mapacha - ukiacha Wasukuma na Wanyamwezi), waliozaliwa na ulemavu (miaka kadhaa iliyopita usingeona albino - cheki miongoni mwa wamasai), waliozaliwa wakiwa ama wakubwa sana ama wadogo, walioota meno ya juu kabla ya chini, kutelekeza waliozaa kabla ya ndoa na mambo yanayofanana na hayo.
Kwa ujumla, ukilinganisha na dini zenye asili ya mashariki ya kati, "Dini za Kiafrika" zilikuwa na ukatili mkubwa na kuleta mdhara makubwa hasa kwa wanyonge miongoni mwa jamii.
Kafara za binadamu na mengineyo ni matumizi mabaya ya jina la Uafrika. Kile kitabu ni kazi ya fasihi, nenda kasome African Philosophy and Religion kilichoandikwa na Askofu John Mbiti, utapata muhtasari wa dini za Kiafrika na zinavyofanya kazi.
Makanisani unaliwa mwili na damu ya mja fulani kila wiki, kwanini kafara iwe ushetani? KAtika Uafrika mchawi si mtu mwema, ni mwovu mkuu na jamii humchukia na kumtenga.