Kingunge Ngombale Mwiru

jamani haka kazee mkasamehe ccm wamekaleaaa mwishowe kakaanza kuleta furugu uvccm walipomtolea nje kakachukia hana pa kushika ccm wache kafate hela kwa fisadi
Acha kuandika utumbo binti weyee
 
Kuna vijana wa bavicha kwa sasa wanakana maneno yao katika thread kama hii baada ya Mzee Kingunge kuingia kwenye kikundi cha UKAWA.

Unafiki na upumbavu wa aina hii utaliangamiza taifa.
 
Jambo kubwa unalotakiwa ulifahamu nchi yetu imeharibiwa na hao waliokaa madarakani muda mrefu.
Sasa wamechemsha wanajidai kuhamia upande wa pili eti kuleta mabadiliko
 
Kuna vijana wa bavicha kwa sasa wanakana maneno yao katika thread kama hii baada ya Mzee Kingunge kuingia kwenye kikundi cha UKAWA.

Unafiki na upumbavu wa aina hii utaliangamiza taifa.

Hii kitu inashangaza sana...mwanzo walimuita..mchawi..mganga..fisadi anaiba ikulu..mwanae anauza sembe...LEO hii kawa shujaa wao asee..kweli kn mazigaombwe yamefanyika
 
I was deadly wrong ... Kingunge anajua sana Mambo ya CCM... timing yake ni nzuri sana ... Tunamshukuru sana kwa kutuwezesha kukivunja kinyago alichokichonga mwenyewe ... CCM must go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…