Kingunge Ngombale Mwiru: Mh. Magufuli nitampima baada ya siku 100

pepe17

JF-Expert Member
Oct 17, 2007
295
221
Ndugu Kingunge alisema ni mapema mno kumpima (kiboko yao) Mheshimiwa Rais Magufuli. Mbona sasa hizo siku 100 zimeshapita na hatujamsikia kusema chochote kuhusu tathmini yake? Au na yeye Kingunge ni jipu??
 
Kamanda Kingunge kasahaulika kabisa
 
Lowasa amepoteza wengi ,huyu mzee hana shukurani kikwete kambeba sana hadi KWENYE bunge la katiba
 
Kingunge mnafiki tu, alikuwa anaipaka ccm wakat mfumo uliokuwepo ccm ndio wao wamauasisi sasa ona Mungu alivyo mumbua anakuna ukurutu tu huko kwake kaishiwa pumzi kwisha kabisa
 
Ndugu Kingunge alisema ni mapema mno kumpima (kiboko yao) Mheshimiwa Rais Magufuli. Mbona sasa hizo siku 100 zimeshapita na hatujamsikia kusema chochote kuhusu tathmini yake? Au na yeye Kingunge ni jipu??
Ameshakata pumzi mzee wa watu
 
Bora aendelee kunyamaza ataonekana wa maana zaidi. Lolote atakalosema ataonekana mbaya tu. Akiwa na mkweli na kumsifui JPM, kambi yake ya Laigwanani itachukia kweli. Akimponda JPM atakuwa mnafiki. Nadhani nafsi yake inamsuta. Bora auchune tu.
 
Back
Top Bottom