Angalia usije ukaja kuacha kupitia jamiiforum!!!
Inaweza ikawa ndo kufa kifo cha mende kwa chama chenu mara baada ya uchaguzi na ikatokea usikipende tena!!!
Jua kuwa kuna wengi wanaoomba nafasi hiyo, hivyo usijiaminishe sana kuwa chama chako kitashinda!!! Bakisha ya kuongea baada ya uchaguzi kupita!!!