Kingunge aonya kuhusu Muungano

Kingunge aonya kuhusu Muungano

Huyu Kingunge hivi hana wajukuu wa kucheza nao,akili yake sasa inaelekea kufikia ukomo lakini bado anahangaika tu iko siku atafia studio.
 
Hivi Kingunge bado yuko hai?
Yuko hai. Pia wazee wengine paul sozigwa, hashim mbita, ibrahim kaduma, peter kisumo wapo hai. Naamini roho zao zinatokota kwa namna mambo yasivyokua matarajio yao.
 
Back
Top Bottom