Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ameonya kupitia Channel 10 usiku huu kwamba ili kuunda muungano mwingine wa aina yoyote ile na Zanzibar nje ya huu wa sasa, inabidi kuuvunja kwanza huu uliopo! Anauliza mandate ya kuuvunja kienyeji haupo hadi ipitishwe kura ya maoni kwa Watanzania wote waamue aidha kuuvunja huu wa sasa au la. Mie naiona point! Nawasilisha.

Kwani huo wa Zamani ulipoasisiwa iliitishwa kura ya maoni?. Mizee hii haifi tukapumzika maana akili zao Kama WEHU
Kingunge yupo sahihi na nakubaliana nae.
Hivi Kingunge bado yuko hai?
Hawa ndio wazee wetu waliobaki na wenye busara,,,mawazo yake sio yakuyapuuzia,,,hawa ndio wenye tanzania ,,,,tuwaheshimu tafadhali
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ameonya kupitia Channel 10 usiku huu kwamba ili kuunda muungano mwingine wa aina yoyote ile na Zanzibar nje ya huu wa sasa, inabidi kuuvunja kwanza huu uliopo! Anauliza mandate ya kuuvunja kienyeji haupo hadi ipitishwe kura ya maoni kwa Watanzania wote waamue aidha kuuvunja huu wa sasa au la. Mie naiona point! Nawasilisha.
Hawa ndio wazee wetu waliobaki na wenye busara,,,mawazo yake sio yakuyapuuzia,,,hawa ndio wenye tanzania ,,,,tuwaheshimu tafadhali
Mawazo ya kizee