Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ameonya kupitia Channel 10 usiku huu kwamba ili kuunda muungano mwingine wa aina yoyote ile na Zanzibar nje ya huu wa sasa, inabidi kuuvunja kwanza huu uliopo! Anauliza mandate ya kuuvunja kienyeji haupo hadi ipitishwe kura ya maoni kwa Watanzania wote waamue aidha kuuvunja huu wa sasa au la. Mie naiona point! Nawasilisha.