IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,881
- 7,536
Diamond yupo sahihi sana tena hicho ni kiingereza cha kiutu uzima (mtu anayejua). Hajatumia tafsiri sisisi (literal translation) yaani neno kwa neno BALI dhamira ya ujumbe (context).
Ila nahisi kaandikiwa na mtu au yeye aliandika mtu fulani (huenda Zarina Hassan) akai edit.
Halafu eti hawa ndio wanataka "kumkomboa" mtanzania toka kwa mkoloni mweusi. Watu wenyewe bado wanamsujudu mkoloni mweupe ka mungu vile. Ndio maana Mkapa alicharuka na kuwaita malofa na wapumbavu. #HapaKaziTuKiingereza si kama kiswahili tu.??wanakosea kina beckham itakuwa diamond...!!
Sisi kutojua hakufanyi ndomo ajue wakati hajuiAcheni kumchukia Diamond kwa sababu anamfagilia Magufuli. Hiyo ni lugha vijana wengi tu wanatumia mitandaoni. Kwani hapo alitakiwa kupasi Kiingereza? Nyie mnaomnanga Diamond mnajua hicho Kiingereza basi?