Mentor,
Hapa sijui nikusaidie vipi,
King'ast tayari kashakukumbia!
Vivi naye huyooo anapaa!
Umetuachia wajane wawili... inabidi mimi nichukue nafasi!
mtaka yote kwa pupa hukosa yote. muwahi vivian umtoe ujane, manake mie siko kwenye shelf kabisaa. unless unataka kuibiwa,loli!
Mipango enedelevu kama vile ya kutafuta solution ya umeme
I look more innocent than the others lol!!
Basi jamani usiende kunisemea kwa FF. Unataka pipi kijiti? Au unataka bisi? Kama unataka sema tu ntakupa. Naomba basi usinisemee kwake huyo manake ni mkali kama nyuki.
Kuibiwa kawaida mbona? kuna mtu ambaye siku hizi hasaidiwi!
Bora tu usijue kama unasaidiwa...
nipo tayari.. ina namuhofia Mentor asijenifanya kitu mbaya.
lol... kumbe hiyo toy? mi nilfikiri kitu real gun!!hapo sawa, yameisha. staki chochote,nataka tucheze kwa upendo bila kuibiana toys. u stay with ur cars, i stay with my toy gun,lol!
hapo sawa, yameisha. staki chochote,nataka tucheze kwa upendo bila kuibiana toys. u stay with ur cars, i stay with my toy gun,lol!
wasn't me!
Usishau kuangalia Kibuti chako kwenye Pm
Unaitwa Nehi Bollo.
<br />Anzisheni ingine inayohusu PakaJimmy!
lol... kumbe hiyo toy? mi nilfikiri kitu real gun!!
Hey wanna come over and play with my LEGOs? Just come over...I wanna play with you. I got the new Harry Porter sets. I got the World of Hogwarts and the School of Witchcraft and Wizardry. Come see them....they are pretty cool.