King'asti darling...nini tena hichi!??

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,943
[h=1]King'asti

JF Senior Expert Member[/h]


Nimeshtushwa na mabadiliko haya bibie...kwa hiyo ndo leo unanitangazia vita home? Nimekukosea nini love?
Please, wanajamvi nisaidieni kufanya pledge kipenzi wangu huyu abadili avatar hii..
Dada Asha Nisaidiee..
Nyani Ngabu, The Boss, Aspirin, Rejao, mnajifanya hamnijuiee
Da Lizzy..sijui wewe ndo uemfundisha ukatili!??

Sweetheart King'asti...the previous one was waaay better!
 
toka gazeti aanzishe uzi wa lizzy baada ya lunch....
naona imekuwa fashion now lol
huu uzi wa nne nauona....
ha ha haaa
 
Aisee!!!!
 



ha ha ha .... Kid brother... unarusha mno kombora mpaka sasa ladies wanajihami by all means....

Lakini hii si ndio bora kuliko ile.... What do you think?? Maana hata mimi nimeshtuka aisee...
 
ha ha ha .... Kid brother... unarusha mno kombora mpaka sasa ladies wanajihami by all means....

Lakini hii si ndio bora kuliko ile.... What do you think?? Maana hata mimi nimeshtuka aisee...

Hivi amejihami sana mbona dada...mimi wala si mbaya hivo, "I am the guy your mother advised you to date!"lol\
Ile nyingine ilikuwa poa zaidi...ya kuvutia na kutia hamasa kutaka kumjua zaidi, kwa undani..inakupa tabasamu la lazima usoni...daaaah
King'asti, avatar hii ni pigo kubwa kwa smile yangu!
 
Mkali au Mkare?

Simba anazaa ati!...right?


Mkali - comments zako inakua kama you are always... always angry!
Mkare - maybe nitaweza sema always straight to the point!

And of coz Simba anazaa lakini haimaanishi kua Lioness wote wana guts za kumate nae....
 


ha ha ha... to the above blue... Naona kachoka sasa!! with the likes of you....lol

Kwa hio hamu imeisha??
 
Aisee, ngoja nipate lunch kwanza nije kujibu mashambulizi. nilidhani tungeweza kumalizana nyumbani...

 
mentor, tatizo lako unapenda kuibiwa. sasa ile ilikuwa passport size, hii ni 3 quarters. mwisho nitakuja na full photo si utakimbia kabisa? pole kwa mshtuko, ila huku ndo kunijua zaidi. u should see the shoes i wear,lol. na hilo tabasamu la lazma mbona kimeo?

 
ha ha ha... to the above blue... Naona kachoka sasa!! with the likes of you....lol

Kwa hio hamu imeisha??

The likes of me r the ones with true love wangu...who always wish her the best, n she knows dat!!!
 
and this is 'ahaa' moment,lol! i am flattered. bt i told u i am off stock...

The likes of me r the ones with true love wangu...who always wish her the best, n she knows dat!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…