KING'AMUZI StarTimes

KING'AMUZI StarTimes

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,506
Reaction score
376
Nauza king'amuzi tajwa bei 80 elfu haipungui napatikana 0766786620 nipo DSM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
bei yako iko juu sana na wakati huku kitaa tunapata kwa 79,000
 
Nauza king'amuzi tajwa bei 80 elfu haipungui napatikana 0766786620 nipo DSM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Star times wanauza 79,000 we unauza 80,000??
Endelea kukitumia tu kama unataka kuna mtu ana 45,000 nimpe # zako..
 
Nauza king'amuzi tajwa bei 80 elfu haipungui napatikana 0766786620 nipo DSM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

fanya research ya bidhaa dukani kabla ya kupost mkuu, popote pale kwa mawakala wao wanaviuza 79,000/= vipya na kifurushi cha premium cha mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom