NEXTLEVEL JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 857 Reaction score 396 Mar 14, 2014 #1 King'amuzi cha CONTINENTAL FULL BOX,Cable na Antenna yake.Karibu. Nilikuwa busy so kwa wale awali walionyesha interest now nipo nyumbani kwa muda. 0717 017 820
King'amuzi cha CONTINENTAL FULL BOX,Cable na Antenna yake.Karibu. Nilikuwa busy so kwa wale awali walionyesha interest now nipo nyumbani kwa muda. 0717 017 820
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,506 Reaction score 374 Mar 14, 2014 #2 Ninayo 50elfu mkuu napatikana dsm Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
D Devla Member Joined Jun 16, 2013 Posts 74 Reaction score 13 Mar 14, 2014 #3 kama upo siriaz nipo mbeya natafuta balaa
Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,769 Mar 15, 2014 #4 Kama kuna mteja yupo Arusha anijulishe, nimpatie kwani nilihamia kule kwenye mpira hivyo hicho cha continatal hata rimote yake sijaifungua (bei hiyo 65,000) PM!
Kama kuna mteja yupo Arusha anijulishe, nimpatie kwani nilihamia kule kwenye mpira hivyo hicho cha continatal hata rimote yake sijaifungua (bei hiyo 65,000) PM!