Kingamuzi kinahitajika.

cjui mimi

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Habari wadau kwa mwenye kingamuz cha aina yeyote ambae anauza kwa zile bei zetu za kijasiria mali p'lse naomba aniPM.

nawasilisha
 
Kinapatikana cha Startimes, bei yake 50,000/= NiPM kama unahitaji.
 
Easy Tv kipo sokoni. 50,000 tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kipo Cha EAZY-TV, Nipe 50,000/- Tumalizane. Niko Ilala BOMA. Waweza ni-PM kwa yoyote mwenye kukihitaji.
 
Nina elfu 45 nataka king'amuzi cha startime
 
Nami nataka cha startimes ila bei isizidi 40,000
 
Nina elf 30,000 nahitaji king'amuzi cha Startime nipo Rombo kibo mbele kidogo ya Ubungo..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…