King'amuzi chenye Peace Tv

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Habari waungwana, ni king'amuzi gani naweza kupata channel ya Peace Tv ya Dr. Zakir Naik. Nipo dar mwenye kujua anijuze.
Wasalaam.
 
Nunua King'amuzi cha Easy Tv utaipata
 
Shukrani wote nataraji kununua sasa kati ya hivyo vingamuzi ili niipate hiyo channel, naipenda na ni nzuri sana.
 
Inapatikana Zuku, ni kati ya chanel zinazonikera sana
 
Hahahaha eeee Babu Kijana weee.Usieutaka uzee wakati ni Sunna
Umeona Ramadhani ndio unajifanya Usheikh.
Inshaalallh mungu akuongoze hivyo hivyo hadi Ramadhani iishe.Usieteka kuitwa Babu kizee.
 
Hahahaha eeee Babu Kijana weee.Usieutaka uzee wakati ni Sunna
Umeona Ramadhani ndio unajifanya Usheikh.
Inshaalallh mungu akuongoze hivyo hivyo hadi Ramadhani iishe.Usieteka kuitwa Babu kizee.
Asante mjukuu wangu. Nani kakwambia kutaka Peace tv ni kuutaka ujana na kujifanya usheikh? Hata ivo usheikh kwangu hauna maana kwa tafsiri yako ulivofasiri, kwa taarifa yako ufanye toba kwa maneno uliyoyaandika hapa najua yaumul qiyama utakuwa mas'ul kwa umenidhania na wala hunijui wala sikujui. Wewe na usheikh wako umeshindwa kuikomboa znz yako unapiga kelele tu huku jamii forum. Masheikh wetu wamekaa jela nyie wote mmeufyata ndio usheikh gani huo?
 
umenifanya nimtizame ,Peace tv huyu jamaa/shehe yuko vizuri. Q/A session.
Zuku.
 

asante kwa kumpa 'za uso' huyo mburula akome kudandia mambo mambo asiyoyajua.
 

Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…