Ndg wanajamii,
Nafahamu ktk jukwaa hili kuna watu wengi wanaofahamu vitu vingi tofautitofauti,kwa anayejua jinsi ya kupata king'amuzi cha Ten sport na jinsi ya kulipia tafadhali anijuze.
Natamani sana kumiliki king'amuzi hicho,asanteni wanajamvi kwa watakaonisaidia.