Signal za itv na wenzake ipo chini kwa siku hizi hasa kama unatumia ft6 dish kwa ft8 hakuna tatizo zote zinapiga mzigo. Nitakachokushauri mimi kwa vile una mpg4 basi mtafute fundi ategeshe dish lako ktk satellite iitwayo amos5 ili uweze kuwapata continental yenye chanel za nyumbani karibu zote na nyinginezo