King'amuzi cha Startimes

King'amuzi cha Startimes

DONALD

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
275
Reaction score
35
Nauza king'amuzi changu mwenyewe cha startimes,white in colour bei Tsh.45,000/- wire na antena yake,nayehitaji...anicheki 0714 345 432....!
 
Weka picha, mahali ulipo namaanisha kijiji ulipo.
Halafu io bei kauzie kule Geita.
 
Kumbe sio dish iyo kam upo serious 18k nambie upo wp nije kuchukua
 
Nauza king'amuzi changu mwenyewe cha startimes,white in colour bei Tsh.45,000/- wire na antena yake,nayehitaji...anicheki 0714 345 432....!
Dukani au kwa Wakala ni Bei gani?
Tuanzie kwanza hapo
 
Hujielewi wewe, kwa hiyo bei katafute lizi ya miaka 99.... manispaa wanatoa, au hati fungani
Vipi?
Mbona unanivaa mimi na comment isiyoeleweka?
Ulikua unataka kuzungumzia nini?
 
Nauza king'amuzi changu mwenyewe cha startimes,white in colour bei Tsh.45,000/- wire na antena yake,nayehitaji...anicheki 0714 345 432....!
Bado kipo!!....wanapiga simu tu kuja hawaji...!!

Nauza king'amuzi changu mwenyewe cha startimes,white in colour bei Tsh.45,000/- wire na antena yake,nayehitaji...anicheki 0714 345 432....!
 
Hata Bure Siwez Kuchukua Bei Za Vifurushi Vyao Haieleweki Eleweki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom