King'muzi changu cha startimes ,nimekuwa sikitumii mara kwa mara kutokana na picha kuganda sana.Lakini leo nilipokiwasha kinaonesha chanel za TING naendelea kufaidi.
King'muzi changu cha startimes ,nimekuwa sikitumii mara kwa mara kutokana na picha kuganda sana.Lakini leo nilipokiwasha kinaonesha chanel za TING naendelea kufaidi.
Kimedata hicho c ajabu kikaanza kushika mpaka zile zingine zileee za uckuNazipata chanel za TING kama vile ATN,TBC1,SETANTA,ALJAZEERA,TBN,CHANEL TEN,CNN,MUVI TV AFRICA,ITV,K24,STARTV,EMMANUEL TV,COLORS na startimes guide ambayo ni ya kwao.
Nazipata chanel za TING kama vile ATN,TBC1,SETANTA,ALJAZEERA,TBN,CHANEL TEN,CNN,MUVI TV AFRICA,ITV,K24,STARTV,EMMANUEL TV,COLORS na startimes guide ambayo ni ya kwao.