Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Sijaelewa ni kwa nini wamefanya hivyo, anayefahamu atuambie, tusije nunua tukajutia.
Sijaelewa ni kwa nini wamefanya hivyo, anayefahamu atuambie, tusije nunua tukajutia.
Mkandara, siyo lengo langu kukuvuta kwenye imani yangu. Ila najaribu kukuweka sawa kuwa kuna imani moja tu katika Ukristu nayo ni ile ya mitume. Kutaka kuelewa ukristu unaamini nini hatuna budi kwenda mwanzoni toka kwa wale waliopokea mafundisho ya mitume.
Hakuna urahisi wowote uliofanya hapa zaidi ya kujivingirisha wewe mwenyewe kwenye nyavu uliyoitandika mwenyewe.
Makosa mawili unayafanya hapa. Kwanza, huwezi kutenganisha mitume na maisha yao. Suala la mitume wa Mungu ni suala linalohusu maisha ya milele. Wao wanadai kuwa wamepewa ujumbe na Mwenyezi Mungu kuwafikia wanadamu. Hata hivyo ujumbe huo unaenda sambamba kabisa na maisha yao. Kosa la pili ni kulinganisha masuala ya imani na masomo ya elimu ya dunia. Ni kweli kama mtu anajua hesabu anaweza kuifundisha hata kama yeye ni muuaji, mbakaji au mlevi!! kwani 2 + 2 ni 4 hata kama anayefundisha ni jambazi!!! Kwenye masuala ya dini hata hivyo kuna tofauti kubwa. Mjumbe wa mwenyezi Mungu akija na kutuambia "Msiue" halafu yeye mwenyewe akaendelea kuua hatuwezi kumuamini!! Ndiposa, utaona kuwa huwezi hata chembe (hata kama utake vipi) kutengenisha maisha ya Yesu na Ujumbe wake! Kuzaliwa kwake, mafundisho yake, kifo chake na hatimaye kufufuka kwake ni sehemu nzima (part and parcel) ya ujumbe wake! Of course, unaweza kujaribu kufanya hivyo kwa "wajumbe" wengine, lakini kwa Yesu huwezi. Yeye hakuja kuleta tu neno la Mungu bali yeye mwenyewe alikuwa ndiye Neno! (yoh 1:1-12)
Of couse nisingemuamini!! kama alisema kuwa atatoa uhai wake kwa ajili ya fidia ya dhambi halafu akakimbia asife nisingemuamini. Kama angesema kuwa "nitasulubiwa na kufa siku ya tatu nitafufuka" halafu akasulubiwa lakini baada ya siku tatu asingefufuka, nisingemuamini. Ujumbe wa Yesu siyo tu maneno yake tu bali pia maisha yake!!!
Wala siko kwenye kundi hilo. Mimi najaribu kumfuata Yesu siyo kama Kipofu bali nimeangalia maisha na ujumbe wake, hivyo viwili ni vivutio tosha. Hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa kuna watu ambao wanaamini tu bila ya kuangalia ukweli wa kile wanachokiamini na kulinganisha na maisha ya yule wanayemuamini!!
Unaona, unachokisema ni imani uliyojitengenezea wewe mwenyewe ili ikufae! Siyo imani ya Kikristu na wala haina msingi wa imani ya Kikristu. Unayo haki ya kuamini chochote unachotaka kuamini, lakini kwa kufanya hivyo usikiite kile unachokiamini ni imani katika Kristu. Kwani imani uliyotaja juu ya Kristu haina msingi wowote wa Kibiblia, Kihistoria au Kiteolojia. Ni imani uliyojichongea mwenye ili kukupa faraja na kutuliza akili yako!!
Sikusema Yesu alisema hivyo, nilisema Ibrahim alipaita pale kwa lugha hiyo ya kiebrania! Yesu alikuwa akizungumza kiaramaiki!
Not even close! Jina la Yesu kwa kiebrania ni Yeshua! ambacho ni kiini cha jina Yoshua! ambalo lina maanisha "Mungu anaokoa". Jina Issa halijawahi kutumika mahali popote hata waarabu wakristu wa Mashariki ya Kati hawajawahi kumuita Yesu Isa... !! Issa ni invention ya baadaye!! Ndo maana Yesu wa Biblia siye Issa wa Kurani!!!
Hahaaaaaaa! Mkuu uliua, hebu nifahamishe kama AZAM kuna stesheni za mieleka hasa ambayo ni current kama ile ya ETV startimes?
Hahaaaaaaa! Mkuu uliua, hebu nifahamishe kama AZAM kuna stesheni za mieleka hasa ambayo ni current kama ile ya ETV startimes?
Mkuu hayo maelezo uliyo quote mbona hayana uhusiano na post husika?
Samahani mkuu naona nime "miss-quote"
ipo mkuu . channel namba 202
pia ipo Mbc action namba 171 pia ipo mbc action plus. zote hizi zinaonyea mieleka current