King'amuzi cha startimes kinanizingua

King'amuzi cha startimes kinanizingua

mayayasilas

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
43
Reaction score
5
nilikuwa naish mwanza kwa kipindi kama miaka kadhaa, na sasa nimehamia Tabra na nmekuja na startimes yangu. Shida ambayo inakuja nikuwa nimefika huku hakionyeshi channel yoyote na nimeenda kwa mawakalaa wao hapa tabora wananiambia mpaka wanifanyie settings flani hivi na bei yake ni kama unanunua kipya.
Nilijaribu na kuwapigia simu customer care yao si nzuri kabisa, wakasema king'amuzi cha Mwanza hakiwezi kufanya kazi Tabora.
Kwa yoyote anayeweza kunipa msaada kwa hili nitashukuru sanaa maana almost wiki ya pili sasa sijui cha kufanya..
 
Kwenye screen ya tv inaandikaje? Jaribu kupiga customer care tena kwa 0764700800
 
Kwenye screen ya tv inaandikaje? Jaribu kupiga customer care tena kwa 0764700800

yaan nimejaribu kusearch hailet channel yoyote..customer care wanasema ni bora kununua mpya maana haziingiliani
 
Back
Top Bottom