King'amuzi cha dishi cha Startimes bei sawa na bure

the happiest man

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
253
Reaction score
218
King'amuzi kinauzwa full package kuanzia dish waya mrefu,receiver na satellite dish lake, na list kwa TSH 80,000 fixed price
reason ya kuuza nnavyo viwili
0756569650
 
Yan we jamaa umechanganyikiwa nikajua labda ni elfu 10 iyo bei si hata kipya imezidi khaa
 
King'amuzi kinauzwa full package kuanzia dish waya mrefu,receiver na satellite dish lake, na list kwa TSH 80,000 fixed price
reason ya kuuza nnavyo viwili
0756569650
Huyu Dalali anakurupuka tu hajui hata bei ya dukani
 
hizo ni tabia za wasio na hera so nenda kalale
Wewe ungekua unaela ungeuza vitu vya ndani!! Utakua hauna hela na unadaiwa kodi wewe ndio maana unauza dish, ukimaliza dish utaamia TV na kiti ukimaliza unahamia kwenye kitanda.
 
sasa vitu vya kwangu afu unanipangia matumizi..... what do u expect
 
Back
Top Bottom