King'amuzi cha Continental!

King'amuzi cha Continental!

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
414
Bandugu natumia hiki king'amuzi cha Continental kwa takribani miezi 4 sasa. Mwanzo kilikuw kinafanya kazi vizuri ingawa hapoati kilinizingua kidogo baadae ikwa safi, then ikaanza tabia ya picha na sauti kukatika katika na ujumbe wa "No signal. Lakini juzi ndio kimegoma kabisa no picha at all. Nimekwenda kwa wakala aliyeniuzia amekijaribu no picha. Na hii ni mara 2. Nanyie wenzangu mnaotumia hivi ving'amuzi mmeshakutana na hiyo kero? which is the best decoder apar from Dstv msuli wangu mdogo ku-maintain hiyo kiukweli. Duh!!.
 
Mkuu wengi wametoa experience zao humu kuhusu dekoda, wengi wanaona azam ni nzuri kuliko zingine.
Hiyo continental wengi wanalalamika
 
Cha kwangu kinaonyesha stesheni Moja tu
Tena ya Matangazo tu!
Nadhani kuna matengenezo katika baadhi ya maeneo mara baada ya kuzimika mitambo ya Digital.
 
kibongo bongo Azam ndo mpango mzima..
 
tuambie uzuri wa azam please,manake mi easy tv kinazingua mbayaaaa
 
tuambie uzuri wa azam please,manake mi easy tv kinazingua mbayaaaa

Kuhusu azamtv kuna mambo mengi sana yamejadiliwa na wadau humu. Search post moja hivi inaitwa MNAZIONAJE HUDUMA ZA AZAMTV utajua ABC za azamtv.
 
Dish la kawaida ndo safi channel kibao ushindwe ww.... hivo ving'amuzi shida tu...
 
Zuku ndio yenyewe.

mkuu acha kuupotosha umma,wiki ya hapa kati itv iliondoka kinyemela,wakaileta star tv,mara star tv ikaondolewa kihaina ikarudi itv,kisambusi kimejaa chanel za kenya sio rafik kwa mteja wa tz,zuku spoti ndio hailewek kabisa michezo inayoonyeshwa n pasua kichwa kwa mtz mara rugby ya wakenya,mara marede ya wakenya,yani kutafuta hata mechi moja za kuibia katika wiki barani ulaya zimewashinda mfano juve na inter milan ,buyern munich na schalke 04,kule spain,yani zuku hawajiongezi kabisa kukidhi mahitaji ya mteja wa kibongo,juzi wameongeza abu dhabi tv na dubai tv wanazungumza kiarabu bado nisimame kukitetea zuku ni bora ntakuwa natokwa mapovu.
 
Back
Top Bottom