hawa jamaa sahara media sijui ni utaalamu umewapiga chenga hata ccn, aljazeera, bbc, emmanuel tv, msbn, reuters, ktv-kenya na chaneli hata moja ya wanyama wameshindwa kuweka kwenye kingamuzi chao hawa sahara media wajipange; ndio maana sijajua bado natumia satellite dish free chaneli; wajipangeeee sahara media