Kingamuzi cha Continental kwa Dodoma kina utata

Niambieni

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
625
Reaction score
171
Ni muda mrefu hapa dodoma tunapata shida ya kutumia huduma ya king'amuzi cha kichina cha continental.

Kinaonyesha picha hafifu za kutetemeka, na kibaya zaidi saa za jioni hakionyeshi kabisa.

Kama nilivyo eleza hapo juu ni muda mrefu kina goma kuonekana kabisa, na hata leo tarehe 13 september 2013toka asubui hadi sasa hivi hakionyeshi kabisa.

Hii ni inasupport kuwa vya bure vinagharama yake ingawa vinatangazwa sana ili watu wavinunue kwa wingi na kuona patupu.

Tumewasiliana na wahusika nao hawana majibu.
 
amia DSTV au digteck za meng kiko poa sanaa.... Na sio siasa hii peleka jukwaa lake.
 
Leo huku kimara tangu asubuhi kinasumbua sana hata mda huu taarifa ya habari nimekosa du tz nimetoka star time nipo continental sa sijui nielekee wapi tena.
 
Hata huku Dar ni majanga ndugu, no signal ndo mpango wao! Cha ajabu hata hizo no zao wanazotangaza hazipatikani, hiyo email ukituma inafel sielewi wana maana gani! Bora ya hata Star times mara mia wao wanapotea wanarudi continental ni majanga yaani majanga!
 
Back
Top Bottom