LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,197
- 14,902
Jamani wadau heshima kwenu.
Nilinunua hiki kingamuzi hapa Arusha mara tu walipo kizindua. Lakini kati ya matatizo nilokaribisha nyumbani kwangu ni hiki ki takataka. Hakina mawasiliano ya uhakika. Najiuliza hawa TCRA wako maofini Dar tu wakisubiri mishahara au walipewa chochote na hii kampuni ili watuibie??
Nimewahi kwenda ofisi za hawa jamaa hapa Arusha pia hawana majibu
Nashauri kwa aliyekuwa na wazo la kununua hiki kingamuzi, atumie hela zake kwa mambo mengine.