Heh kuna king'amuzi cha nazi tena! Hata kama ni biashara huru bt this is too much maana makampuni mengi hayajajipanga kutoa huduma stahiki kwa jamii badala yake wanaleta kero kila kukicha.
Startimes
Zuku
Ting
Coconut
.....
Alafwote hawajiwezi!
coconut tena?...hivi ving'amuzi vitatutoa roho.....
kuna king'amuzi kipya kinaingia sokoni soon kinaitwa BONGO NEWYORK
Nimecheka sana. Changu ni Parachichiz.Unashangaaa king'amuzi cha coconut mi nauza cha avocado! Unahitaji kimoja?