Inawezekana ikawa kweli kwani hapa DAR ukinunua king'amuzi cha azamu kilichosajiriwa UGANDA, local channels zote unazipata.Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa King'amuzi cha azamtv ukikinunua kutoka Zanzibar unapata local channelz kama TBC, clouds tv, StarTv, EATV, ITV na nyinginezo.....Mwenye kujua hili naomba atujulishee.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Vpiii kuhusu ligii ya SpainInawezekana ikawa kweli kwani hapa DAR ukinunua king'amuzi cha azamu kilichosajiriwa UGANDA, local channels zote unazipata.
Chanel zote za azamu unazoziona kwenye vifurushi vyao kulingana na malipo uliyofanya zipo isipokuwa zbc2
Naweza kukipataje hikiiiChanel zote za azamu unazoziona kwenye vifurushi vyao kulingana na malipo uliyofanya zipo isipokuwa zbc2
Hicho ndugu hadi uwe na mtu bukoba/mtukula na kyaka, ndio akuchukulie na malipo ni lazima yawe yanalipiwa uganda, nivile vile tu kama ya hapa kwani cha kiwango cha chini ni 10,000,mimi kuna jamaa huwa ndio namtumia pesa ana nilipia.
Ambyoo kwa ugandaa ni kiasii ganiii sasaHicho ndugu hadi uwe na mtu bukoba/mtukula na kyaka, ndio akuchukulie na malipo ni lazima yawe yanalipiwa uganda, nivile vile tu kama ya hapa kwani cha kiwango cha chini ni 10,000,mimi kuna jamaa huwa ndio namtumia pesa ana nilipia.
mimi huwa namtumia 10,000 tu,yeye ndio analipia kupitia mtandao wa MTN
saivi kuna ushuru mkubwa sana mpakani, na bei ya vifurushi ni kama 10000=6500,....25000=16000,.....37000=24000, wanaofanya malipo kwa niaba yako wanapata faida kidogo
Cjaelewaa mkuu ushuru wa kukiingizaa vpii bei zakee zikojeeesaivi kuna ushuru mkubwa sana mpakani, na bei ya vifurushi ni kama 10000=6500,....25000=16000,.....37000=24000, wanaofanya malipo kwa niaba yako wanapata faida kidogo