Zile process wanazozionesha haraka haraka vile hakuna mtu ambaye anaweza kuzikariri na kufanya kama wanavyoelekeza.Weka new soft ware kama wanavyoelekeza mara kwa mara kwenye Xtra channel.Ukishindwa nenda kwao wakirekebishe
mkuu nakushukuru sana kwa msaada huu, maana nilikuwa nauhitaji sana! niweka software tyari kwa king'amuzi changu!pole mkuu fanya hivi
Ukitaka ku Update software mpya kwenye Azam decoder bonyeza menu, kisha bonyeza 012 kupata menu ya pili, utaenda kwenye OTA kisha utabonyeza ok, juu kabisa kuna neno Update PID utaweka 8001 kwa chini kwenye frequency utaweka 11356 h 45000, kwenye lnb frequency utaweka 9750-10600 kisha utabonyeza ok
itajizima na kuwaka yenyewe kisha itafanya update .. usiizime hadi imalize
Inachukua mda gan mkuumkuu nakushukuru sana kwa msaada huu, maana nilikuwa nauhitaji sana! niweka software tyari kwa king'amuzi changu!
mkuu nakushukuru sana kwa msaada huu, maana nilikuwa nauhitaji sana! niweka software tyari kwa king'amuzi changu!
La liga inaanza kesho usikose kumchek King Messimkuu nakushukuru sana kwa msaada huu, maana nilikuwa nauhitaji sana! niweka software tyari kwa king'amuzi changu!
Naombeni ushauri wenu wakuu!!
Habari king’amuzi changu comand za 012 hazikubali nifanyeje?pole mkuu fanya hivi
Ukitaka ku Update software mpya kwenye Azam decoder bonyeza menu, kisha bonyeza 012 kupata menu ya pili, utaenda kwenye OTA kisha utabonyeza ok, juu kabisa kuna neno Update PID utaweka 8001 kwa chini kwenye frequency utaweka 11356 h 45000, kwenye lnb frequency utaweka 9750-10600 kisha utabonyeza ok
itajizima na kuwaka yenyewe kisha itafanya update .. usiizime hadi imalize
Habari king’amuzi changu comand za 012 hazikubali nifanyeje?
kama una utundu kidogo nitafite nikuelekeze namna ya kuweka setting upya manually,Habari king’amuzi changu comand za 012 hazikubali nifanyeje?