jose mjasiriamali JF-Expert Member Joined Sep 17, 2014 Posts 1,770 Reaction score 1,605 Oct 6, 2015 #1 wakuu salaam kuna Kitaa cha kwenye king'amuzi cha azam upande wa kulia kwa Juu pameandikwa LOCK hakiwaki nafikiri ndo tatizo maana king'amuzi hakifanyi kazi. msaada wenu wadau namna ya kurekebisha
wakuu salaam kuna Kitaa cha kwenye king'amuzi cha azam upande wa kulia kwa Juu pameandikwa LOCK hakiwaki nafikiri ndo tatizo maana king'amuzi hakifanyi kazi. msaada wenu wadau namna ya kurekebisha
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,376 Reaction score 3,977 Oct 6, 2015 #2 jose mjasiriamali said: wakuu salaam kuna Kitaa cha kwenye king'amuzi cha azam upande wa kulia kwa Juu pameandikwa LOCK hakiwaki nafikiri ndo tatizo maana king'amuzi hakifanyi kazi. msaada wenu wadau namna ya kurekebisha Click to expand... Hakuna signal hapo.unganisha waya vizuri,kilipie au mwite fundi.
jose mjasiriamali said: wakuu salaam kuna Kitaa cha kwenye king'amuzi cha azam upande wa kulia kwa Juu pameandikwa LOCK hakiwaki nafikiri ndo tatizo maana king'amuzi hakifanyi kazi. msaada wenu wadau namna ya kurekebisha Click to expand... Hakuna signal hapo.unganisha waya vizuri,kilipie au mwite fundi.
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,183 Oct 6, 2015 #3 au channels zimefutika au kufutwa
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,672 Mar 1, 2017 #4 tatizo lako kama langu
Goodluck TZ JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 1,448 Reaction score 662 Mar 1, 2017 #5 hapa ni mawimbi yameshuka. au waya au card au ujalipia au umefuta channel